[caption id="attachment_41813" align="aligncenter" width="782"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Tunduru kabla ya kuifungua rasmi barabara ya Tunduru-Matemanga-Kilimasera km 193.[/caption] [caption id="attachment_41814" align="aligncenter" width="775"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Tunduru mara baada ya kuwahutubia.[/caption] [caption id="attachment_41815" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa Japan hapa nchini Shinichi Goto, Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB nchini Tanzania Dkt. Alex Mubiru pamoja na viongozi mbalimbali wakivuta utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Tunduru-Matemanga-Kilimasera km 193 katika sherehe zilizofanyika Tunduru mkoani Ruvuma.[/caption] [caption id="attachment_41816" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wanne kutoka kulia Balozi wa Japan hapa nchini Shinichi Goto wanane kutoka kushoto, Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB nchini Tanzania Dkt. Alex Mubiru wa kumi kutoka (kushoto) pamoja na viongozi wengine akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Tunduru-Matemanga-Kilimasera km 193 katika sherehe zilizofanyika Tunduru mkoani Ruvuma.[/caption] [caption id="attachment_41817" align="aligncenter" width="768"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Balozi wa Japan hapa nchini Shinichi Goto mara baada ya kufungua barabara hiyo ya Tunduru-Matemanga-Kilimasera km 193 katika sherehe zilizofanyika Tunduru mkoani Ruvuma.[/caption] [caption id="attachment_41818" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Balozi wa Japan hapa nchini Shinichi Goto kulia pamoja na Mwakilishi Mkuu wa JICA hapa nchini Naofumi Yamamura mara baada ya kufungua barabara hiyo ya Tunduru-Matemanga-Kilimasera km 193 katika sherehe zilizofanyika Tunduru mkoani Ruvuma.[/caption]