[caption id="attachment_41866" align="aligncenter" width="1000"] AIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kushoto Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ungyuja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na kulia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, wakitoka katika viwanja vya Kaburi la Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, baada ya kumalizika kwa dua na kuweka mashada ya mau.(Picha na Ikulu)
[/caption]
[caption id="attachment_41865" align="aligncenter" width="1000"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiunduzi Mhe,.Dk. Aliu Mohamed Shein, Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Viongozi wengine wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, katika kamuri la Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, Rais wa Kwa wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Afisiu Kuu ya CCM Zanzibar[/caption]
[caption id="attachment_41864" align="aligncenter" width="1000"] MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akijumuika katika dua ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, kulia Mjane wa Marehemu Mzee Abeid Amani Karume Mama Fatma Karume na Mama Shadya Karume wakiitikia dua wakiwa katika viwanja vya karubi katika Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.[/caption]
[caption id="attachment_41868" align="aligncenter" width="1000"] WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohammed Aboud Mohammed akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Anayeshughulikia Muungano na Mazingira Mhe. Januari Yussuf Makamba baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya kumuombea Dua Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, iliofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Zanzibar[/caption]