Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. Magufuli azindua Chuo cha VETA Mkoani Ruvuma
Apr 05, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_41823" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako kuzindua chuo cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kilichopo Namtumbo mkoani Ruvuma.[/caption]   [caption id="attachment_41824" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Godfrey Zambi, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa chuo cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kilichopo Namtumbo mkoani Ruvuma.[/caption] [caption id="attachment_41826" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako mara baada ya kuzindua chuo cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kilichopo Namtumbo mkoani Ruvuma

[/caption] [caption id="attachment_41828" align="aligncenter" width="1000"] Sehemu ya Wananchi wa Namtumbo waliohudhuria katika sherehe za uzinduzi wa chuo cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kilichopo Namtumbo mkoani Ruvuma. PICHA NA IKULUzindua[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi