[caption id="attachment_41428" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama akivishwa skafu na vijana wa skauti mara baada ya kuwasili katika Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro.[/caption]
Na; OWM – KVAU, Kilimanjaro
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama amewahimiza vijana kuwa wazalendo na kuithamini nchi yao.
Akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga v...
Read More