Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Prof. Kabudi Atoa Pole Kufuatia Mafuriko Yaliyotokana na Kimbunga Idai Nchini Zimbabwe
Mar 27, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_41442" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Palamagamba Joh Kabudi akisaini kitabu cha maombolezo katika ubalozi wa Zimbabwe uliopo jijini Dar es Salaam,kufuatia mafuriko yaliyotokana na Kimbunga Idai nchini humo.[/caption] [caption id="attachment_41443" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Palamagamba Joh Kabudi akisaini kitabu cha maombolezo katika ubalozi wa Zimbabwe uliopo jijini Dar es Salaam kufuatia mafuriko yaliyotokana na Kimbunga Idai nchini humo, huku kaimu Balozi wa Zimbabwe hapa Nchini Bw. Martin Tvenyika akishuhudia.[/caption] [caption id="attachment_41444" align="aligncenter" width="1000"] Kaimu Balozi wa Tanzania hapa nchini Bw Martin Tvenyika akimuonesha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Palamagamba John Kabudi katika ramani maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko yaliyotokana na Kimbunga Idai nchini humo.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi