Na Immaculate Makilika – MALEZO
Serikali yaidhinisha shilingi bilioni 300 za kitanzania kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi na Miundombinu ya awamu ya pili ya mradi wa ujenzi wa mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.
Akizungumza leo Mtumba jijini Dodoma, wakati akitoa taarifa ya mafanikio ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu katika kipindi cha mwaka mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Balozi Pindi Chana alisema...
Read More