Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 9-3-2022 Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Bw. Deodatus Balile akizungumza kuhusiana na Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, wakati wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar, kabla ya kufunguliwa na mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi Baadhi ya Wadhamini wa Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) wakfuatilia hotuba ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 9-3-2022 Wahariri wa Vyombo vya Habari na Wageni waalikwa wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 9-3-2022.
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa