Rais wa Zanzibar Mhe, Dkt. Mwinyi Amekutana na Kuzungumza na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania
Mar 10, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyiakizungumza na mgeni wake Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Mhe. Wiebe de Boer, (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 10-3-2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyiakiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania, Mhe. Wiebe de Boer, baada ya kumaliza mazungumzo yao yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-3-2022.