Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akislimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Waso, Loliondo wilayani Ngorongoro, Februari 14, 2022.
Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wadau wa Uhifadhi, katika kikao kilichofanyika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Waso, Loliondo wilayani Ngorongoro Mkoani Arusha, Februari 14, 2022
Baadhi ya wakazi wa Waso, Loliondo wilayani Ngorongoro na wadau wa uhifadhi wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao, Februari 14, 2022.
Read More