Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia moja ya kazi ya vijana wa kike waliohitimu kidato cha nne na sita, kwenye darasa la mafunzo ya TEHAMA kupitia programu ya CodeLikeagirl inayofadhiliwa na Kampuni ya simu ya Vodacom, katika ukumbi ya JNICC, jijini Dar es Salaam, Februari 15.2024. Kulia ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Mnauye.
Read More