Matukio katika picha: Msafara uliobeba mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Ngoyai Lowassa ulivyowasili na kupita katika mitaa ya jiji la Arusha kuelekea Kijiji cha Ngarash wilayani Monduli yatakapofanyika mazishi ya kiongozi huyo mnamo Februari 17, 2024.