Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Kumi wa Wakuu wa Nchi wa Serikali zinazohusika na mpango wa Amani, Usalama na Ushirikiano nchini DRC na kwenye Ukanda wa Maziwa Makuu uliofanyika, jijini Kinshasa, DRC Februari 24, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa anayeshughulikiwa masuala ya amani, Jean-Pierre Lacroix baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Kumi wa Wakuu wa Nchi wa Serikali zinazohusika na mpango wa Amani, Usal...
Read More