[caption id="attachment_40406" align="aligncenter" width="900"] Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA), Dkt Lutengano Mwakahesya, akizungumza katika kikao cha Bodi hiyo na Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani (wa Sita kushoto), Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (wa nne kulia), Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt Hamisi Mwinyimvua (wa Tatu kulia) na watendaji wengine wa Wizara.[/caption]
Na Teresia Mhagama,
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ameitaka Bodi ya Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa...
Read More