[caption id="attachment_40421" align="aligncenter" width="1000"] Mafundi na wahandisi wa Kampuni ya FEERUM SA wakikamilisha ujenzi wa msingi wa moja ya maghala katika Mradi wa Ujenzi wa Maghala na Vihenge vya Kisasa vya kuhifadhia chakula unaojengwa na Serikali katika eneo la Kizota jijini Dodoma, Februari 13, 2019. Ujenzi huo umepangwa kukamilika Desemba mwaka huu[/caption] [caption id="attachment_40423" align="aligncenter" width="750"] Mafundi na wahandisi wa Kampuni ya FEERUM SA wakikamilisha ujenzi wa msingi wa moja ya maghala katika Mradi wa Ujenzi wa Maghala na Vihenge vya Kisasa vya kuhifadhia chakula unaojengwa na Serikali katika eneo la Kizota jijini Dodoma, Februari 13, 2019. Ujenzi huo umepangwa kukamilika Desemba mwaka huu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]