Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Naibu Waziri Ikupa Atembelea Kukundi cha Wajasiriamali Wenye Ulemavu na Shule ya Viziwi Dodoma
Feb 14, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_40427" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa akizungumza na wanachama wa Sulungai, alipokuwa kwenye ziara kukagua utekelezaji wa masuala ya Watu wenye Ulemavu Mkoa wa Dodoma, Kulia ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Dodoma Mjini Bw. Edward Mpogolo.[/caption] [caption id="attachment_40428" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Stella Ikupa akiwa kwenye picha ya pamoja na Chama cha Walemavu Sulungai (CHAWASU), Viongozi na Watendaji wa Jiji la Dodoma alipokuwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa masuala ya Watu wenye Ulemavu.[/caption] [caption id="attachment_40429" align="aligncenter" width="1000"] Mwanafunzi mwenye Uziwi wa darasa la Saba, Eliabi Chilongola akimweleza kwa lugha ya alama Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Watu wenye Ulemavu, Mhe. Stella Ikupa, teknolojia aliyoivumbua ya Umwagiliaji.[/caption] [caption id="attachment_40430" align="aligncenter" width="978"] Mwanafunzi mwenye Uziwi wa darasa la Tatu, Shadia Kizamo akitaja jina la Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa kwa lugha ya alama swali aliloulizwa na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Stella Ikupa (hayupo pichani).[/caption] [caption id="attachment_40431" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia (Wenye Ulemavu) Mhe. Stella Ikupa akieleza jambo wanafunzi wa shule viziwi iliyopo Jijini Dodoma (hawapo pichani), alipotembelea shule hiyo kukagua utekelezaji wa masuala ya Watu wenye Ulemavu.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi