Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Prof Kikula Akagua Shughuli za Uchimbaji wa Madini na Kuhamasisha Ulipaji wa Kodi na Ufahamu wa Sheria ya Madini
Feb 12, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_40397" align="aligncenter" width="800"] Mwenyekiti wa Tume ya madini Nchini Prof Idris Kikula akifanya ukaguzi wa ulipaji wa Maduhuli wa kampuni ya Uchimbaji wa Kokoto ya Nyanza Road works alipokuwa akikagua machimbo na mitambo ya uzalishaji wa kokoto eneo la Chigongwe Jijini Dodoma.Katikati ni kamishna wa Tume ya Madini Dkt.Athanas Macheyeki na Afisa Madini wa Mkoa Bw.Jonas Mwano.[/caption] [caption id="attachment_40398" align="aligncenter" width="800"] Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Tume ya madini nchini Prof Idris Kikula alipomtembelea kumweleze juu ya ziara yake ya kukagua Shughuli za uchimbaji wa Madini na Kuhamasisha ulipaji wa Kodi na Ufahamu wa Sheria ya Madini katika Mkoa wa Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_40399" align="aligncenter" width="800"] Makamishna wa Tume ya Madini nchini Prof Abdulkarim Mruma na Dkt.Athanas Macheyeki wakifuatilia jambo wakati walipomtembelea Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt.Binilith Mahenge leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_40400" align="aligncenter" width="800"] Mwenyekiti wa Tume ya Madini Nchini Prof Idris Kikula(mwenye kofia na miwani) akiangalia moja ya sehemu ya machimbo ya mawe leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_40402" align="aligncenter" width="800"] Mwenyekiti wa Tume ya madini Nchini Prof Idris Kikula na Kamishna wa Tume ya Madini nchini Prof Abdulkarim Mruma wakifuatilia hatua mbalimbali za uchenjuaji wa dhahabu leo Jijini Dodoma.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi