Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. George Simbachawene akizindua mpango wa “education plus” katika kilele cha shughuli za vijana kuelekea Maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani.
Na Mwandishi Wetu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. George Simbachawene amezindua program ya Education Plus inayolenga kuhakisha vijana balehe (wasichana na wavulana) wanawezeshwa kuishi maisha salama, yenye afya, na tija - bila ukatili wa kijinsia, VVU na UKIMWI.
Akizindua...
Read More