[caption id="attachment_39298" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua uboreshaji wa Mandhari ya eneo la kupumzikia la Chinangali jijini Dodoma, wakati alipokagua Mradi wa Uendelezaji wa Miji ya Kimkakati katika Jiji hilo, Desemba 29, 2018. Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge na kulia ni Mkurugenzi wa jiji la Dodoma, Gowin Kunambi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]
[caption id="attachment_39299" align="aligncenter" width="937"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa M...
Read More