Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Pauline Gekul akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mashindano ya Michezo kwa Mashirika ya Umma, Taasisi za Serikali na Makampuni Binafsi (SHIMMUTA) iliyofanywa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango Novemba 20, 2022 jijini Tanga.
Na Shamimu Nyaki
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Pauline Gekul ameliagiza Baraza la Michezo Nchini (BMT) kuhakikisha Mashirikisho yote yanayojihusisha na michezo yanaendesha mashindano...
Read More