Rais Dkt. Mwinyi Akutana na Kuzungumza na Balozi Mdogo wa Umoja wa Falma za Kiarabu
Nov 21, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyiakiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi Mdogo wa Umoja wa Falme za Kiarabu anayefanyia Kazi zake Zanzibar. (Konseli Mkuu), Mhe. Saleh Ahmed Al Hemeiri, alipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 21-11-2022.