Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwanamke Initiitive, Bi. Sabra Ali Mohammed, akitoa maelezo ya shughuli zinazofanywa na Taasisi hiyo, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kuitambulisha Taasisi yao na (kulia kwa Rais) ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative, Mhe.Wanu Hafidh Ameir, mazungumzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 23-11-2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein A...
Read More