Rais Dkt. Mwinyi Akutana na Kuzungumza na Uongozi wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Ikulu Zanzibar
Nov 23, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyiakizungumza na Uongozi wa Taasisi ya Mwanamke Initiative, (kulia kwa Rais) ni Mwenyekiti wa Taasisi hiyo, Mhe. Wanu Hafidh Ameir na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo, Bi. Sabra Ali Mohammed walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kuitambulisha Taasisi yao katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo.23-11-2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Jarida la Taasisi ya Mwanamke Initiative na Mwenyekiti wa Taasisi hiyo, Mhe. Wanu Hafidh Ameir,baada ya kumaliza mazungumzo yao na kujitambulisha leo 23-11-2022, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.