Rais Dkt. Mwinyi Akutana na Kuzungumza na Balozi wa Somali Nchini Tanzania
Nov 23, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Somali Nchini Tanzania, Mhe. Zahra Ali Hassan alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 23-11-2022, mazungumzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Somali Nchini Tanzania, Mhe. Zahra Ali Hassan, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 23-11-2022, mazungumzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Somali Nchini Tanzania, Mhe. Zahra Ali Hassan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 23-11-2022,alipofika kujitambulisha.