Na. Prisca Libaga - Arusha
WIZARA ya maji na Umwagiliaji ameitaka serikali Mkoa wa Arusha, Kuhakikisha inasimamia utekelezaji wa miradi ya maji ili kufikia mwaka 2020 lengo la serikali la kutekeleza Ilani ya CCM, kuwapatia maji safi na salama ifikiwe na hivyo kuwaondolea wananchi kero.
Rai hiyo imetolewa Oktoba 31 na Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi, Isack Kamwelwe,kwenye hafla ya utiaji saini mradi wa kuboresha huduma ya maji safi na usafi wa mazingira jijini Arusha,wenye thamani ya shilingi bilioni 476 iliyofanyika eneo la Soko k...
Read More