Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati alipowasili kwenye Soko la Wafanyabiashara wadogo lililopo Bahi Road jijini Dodoma kukagua soko hilo na kuzungumza na wafanyabiara hao, Novemba 24, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua eneo la kuuzia mboga, viungo na matunda katika Soko Kuu la Wafanyabiashara Wadogo lililopo Bahi Road jijini Dodoma, Novemba 24, 2022
Waziri. Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kutembelea Soko Kuu la Wafanyabiashara Wadogo lililopo Bahi Road jijini Dodoma, Novemba 24,...
Read More