Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Atembelea Soko Kuu la Wafanyabiashara Wadogo Jijini Dodoma
Nov 24, 2022
Na Jacquiline Mrisho

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati alipowasili kwenye Soko la Wafanyabiashara wadogo lililopo Bahi Road jijini Dodoma kukagua soko hilo na kuzungumza na wafanyabiara hao, Novemba 24, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua eneo la kuuzia mboga, viungo na matunda katika Soko Kuu la Wafanyabiashara Wadogo lililopo Bahi Road jijini Dodoma, Novemba 24, 2022
Waziri. Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kutembelea Soko Kuu la Wafanyabiashara Wadogo lililopo Bahi Road jijini Dodoma, Novemba 24, 2022.
Baadhi ya Wafanyabiashara wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao baada ya kukagua Soko Kuu la Wafanyabiashara Wadogo eneo la Bahi Road jijini Dodoma, Novemba 24, 2022.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi