Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Akagua Ujenzi wa Stesheni Kuu ya Reli ya Kisasa - SGR Jijini Dodoma
Nov 24, 2022
Na Jacquiline Mrisho

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa wakati alipokagua ujenzi wa Stesheni Kuu ya Reli ya Kisasa (SGR)  ya Dodoma katika eneo la Mkonze jijini Dodoma, Novemba 24, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa  (kulia) wakati alipokagua ujenzi wa Stesheni Kuu ya Reli ya Kisasa (SGR)  ya Dodoma katika eneo la Mkonze jijini Dodoma, Novemba 24, 2022. Wa nne kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua ujenzi wa Stesheni Kuu ya Reli ya Kisasa (SGR) iliyopo eneo la Mkonze jijini Dodoma, Novemba 24, 2022.
Baadhi ya mafundi waoshiriki katika ujenzi wa Stesheni Kuu ya Reli ya Kisasa (SGR) katika eneo la Mkonze jijini Dodoma wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao baada ya kukagua ujenzi huo, Novemba 24, 2022.
Muonekano wa Jengo la Makao Makuu ya Shirika la Reli Tanzania TRC jijini Dodoma ambalo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake, Novemba 24, 2022. Mhe. Majaliwa pia alikagua ujenzi wa Stesheni Kuu ya Reli ya Kisasa SGR katika eneo hilo.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi