Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi pamoja na Naibu Katibu Mkuu, Bw. Nicholous William wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi baada ya kuwasili katika ofisi za Idara hiyo jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi (kushoto) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Susan Mlawi (katikati) wakati Katibu Mkuu huyo alipotemb...
Read More