Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari wakutana na Watumishi wa kituo cha Dar es Salaam.
Nov 13, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_22467" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Suzan Mlawi akizungumza na Watumishi wa Wizara hiyo waliopo katika kituo cha Dar es Salaam leo ambapo amewataka kufanya kazi kwa bidii na kufuata Sheria za Utumishi wa Umma.[/caption] [caption id="attachment_22468" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Nicholaus Willium akizungumza na Watumishi wa Wizara hiyo waliopo katika kituo cha Dar es Salaam leo ambapo amewataka kufanya kazi kwa kujituma na kwa ushirikiano.[/caption] [caption id="attachment_22469" align="aligncenter" width="957"] Mkurugenzi Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbas akizungumza wakati wa kikao cha Watumishi wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo waliopo katika kituo cha Dar es Salaam leo Jijini Dar es Salaam .[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi