Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi (wa tatu kulia aliyevaa miwani) akiwa na viongozi mbalimbali kwenda kwenye ziara ya kutembelea kisiwa cha Lazy Lagoo Bagamoyo Novemba 12, 2022 ikiwa ni sehemu ya Tamasha la 41 la kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo ambalo linafanyika katika Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa). Wa pili kushoto aliyekaa ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Bi. Zainabu Abdallah.
Na Eleuteri Mangi, WUSM - Bagamoyo
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Ab...
Read More