Mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akiongea na Waandishi wa Habari kuhusu maelekezo ya Baraza la Mawaziri kufuatia ajali ya ndege ya Kampuni ya Precision Air leo Novemba 14, 2022 kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari - MAELEZO jijini Dodoma.
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa