Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja, (Picha na Ikulu 28/10 /2017.)
Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Mhe. Moudline Syrus Castco (katikati) akisoma taarifa yake katika kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara hiyo katika U...
Read More