Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

IGP Sirro Apongezwa na Wazee wa Kibiti na Ikwiriri
Oct 29, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_21217" align="aligncenter" width="711"] 1. Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akimsalimiana na viongozi waandamizi na maofisa wa Jeshi hilo alipowasili Ikwiriri Mkoani Pwani kwa lengo la kuzungumza na wazee na wananchi wa Wilaya zote mbili za Ikwiriri na Kibiti.[/caption] [caption id="attachment_21218" align="aligncenter" width="940"] 2. Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akiteta jambo na Mkuu wa operesheni maalum za Jeshi hilo, DCP Liberatus Sabas alipowasili Ikwiriri mkoani Pwani kwa lengo la kuzungumza na wazee na wananchi wa Wilayay zote mbili za Ikwiriri na Kibiti. Kulia ni Mkurugenzi wa Upelelezi na Makosa ya Jinai, DCI Robert Boaz.[/caption] [caption id="attachment_21219" align="aligncenter" width="750"] 3. Baadhi ya milipuko 16, Visu 96 na mbolea ya chumvi inayotumika katika kuchanganyia milipuko ikiwa imekamatwa Mkoa wa Mtwara kufuatia operesheni zinazoendelea za jeshi la Polisi. (Picha na Jeshi la Polisi)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi