Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula akifungua kikao kazi baina ya Kitengo cha Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kilichofanyika jijini Dodoma Oktoba 6, 2022.
Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula ameagiza ufanyike upembuzi kwa mashauri yote ya ardhi yaliyokaa muda mrefu kutokana na sababu zisizo na mashiko.
Amemtaka Msajili wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya, Stella Tullo kusimamia agizo hil...
Read More