Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akizungumza wakati akifunga Kongamano la Sita la TEHAMA (TAIC) leo Oktoba 28, 2022 katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar.
Na Chedaiwe Msuya, Zanzibar
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) amesema ili kuharakisha mabadiliko ya kidijiti kwenye jamii ni lazima kuongeza usalama wa kimtandao pamoja na kupeleka huduma za mawasiliano zenye gharama nafuu kwenye jamii yote nchini.
Akifunga mkutano wa 6 wa mwaka wa TEHAMA Tanzan...
Read More