Majaliwa Afungua Jukwaa la Kibiashara Kati ya Tanzania na Korea
Oct 28, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Jukwaa la Kibiashara kati ya Tanzania na Korea kwenye hoteli ya Mondrian iliyopo Seoul nchini Korea, Oktoba 28, 2022.
Baadhi ya washiriki wa Jukwaa la Kibiashara kati ya Tanzania na Korea wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua Jukwaa hilo kwenye hoteli ya Mondrian iliyopo Seoul nchini Korea, Oktoba 28, 2022
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Jukwaa la Kibiashara kati ya Tanzania na Korea kwenye hoteli ya Mondrian iliyopo Seoul nchini Korea, Oktoba 28, 2022.