Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolph Mkenda akizungumza mbele ya Mgeni rasmi- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 13 Oktoba, 2022 wakati wa hafla ya uzinduzi wa Chuo kipya cha Ufundi Stadi na Huduma (VETA) cha Mkoa wa Kagera.
Na Mathias Canal, WEST-Kagera
Katika kuboresha huduma za upatikanaji wa elimu kwa wanafunzi nchini, Serikali imepanga kujenga Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) mkoani Kagera.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adol...
Read More