Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Afanya Ziara Kiwanda cha Sukari Kagera
Oct 15, 2022
Na Jacquiline Mrisho

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na uongozi wa Kiwanda cha Kagera Sugar, wakati alipofanya ziara ya kukagua upanuzi wa mashamba ya miwa na mitambo na iliyoongezwa kwa ajili ya uzalishaji wa sukari katika kiwanda hicho, kilichopo Misenyi mkoani Kagera. Oktoba 15, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mhandisi wa Umeme Kiwanda cha Kagera Sugar (Electrical Engineer), Obeid Kiswaga, wakati alipofanya ziara ya kukagua upanuzi wa mashamba ya miwa na mitambo iliyoongezwa kwa ajili ya uzalishaji wa sukari katika kiwanda hicho kilichopo Misenyi mkoani Kagera. Oktoba 15, 2022. Katikati ni Mwenyekiti Mtendaji wa Kagera Sugar, Seif Ally Seif. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mhandisi wa Umeme Kiwanda cha Kagera Sugar (Electrical Engineer), Obeid Kiswaga wakati alipofanya ziara ya kukagua upanuzi wa mashamba ya miwa na mitambo iliyoongezwa kwa ajili ya uzalishaji wa sukari katika kiwanda hicho, kilichopo Misenyi mkoani Kagera Oktoba 15, 2022. Kushoto ni Mwenyekiti Mtendaji wa Kagera Sugar, Seif Ally Seif.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia magunia ya sukari ndani ya ghala wakati alipofanya ziara ya kukagua upanuzi wa mashamba ya miwa na mitambo iliyoongezwa kwa ajili ya uzalishaji wa sukari katika kiwanda hicho, kilichopo Misenyi mkoani Kagera. Oktoba 15, 2022. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa daraja la Kitengule ambalo linaunganisha Wilaya za Misenyi na Kagawe ambalo litarahisisha mawasiliano kwa Wilaya hizo pia litawawezesha kusafirisha malighafi za kiwanda  cha Sukari cha Kagera kwa urahisi, Misenyi mkoani Kagera. Oktoba 15, 2022.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi