Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia nyavu haramu, zilizokamatwa, wakati alipokagua Soko la Kimataifa la Mazao ya Uvuvi la Katembe-Magarini, lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera akiwa kwenye ziara ya kikazi mkoani humo, Septemba 24, 2023.
Read More