Tuvuti Kuu
Mrejesho
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO
Majaliwa Ashiriki Tukio la Upandaji Miti FAO
Oct 15, 2023
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO), Dkt. Qu Dongyu wakati wa halfa ya upandaji miti katika bustani ya Villa Pamphilj Entrace Largo Martin Luther King, Rome Italia, Oktoba 15, 2023. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Italia, Mahmoud Thabit Kombo. Mheshimiwa Majaliwa yupo nchini Italia kumuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani litakalofanyika makao makuu ya FAO kuanzia Oktoba 16, 2023 hadi Oktoba 20, 2023.
Na Ofisi ya Waziri Mkuu
Habari Mpya
Dkt. Biteko Aipongeza REA Utekelezaji Miradi ya Nishati
Oct 29, 2024
Serikali Itaendelea Kuwekeza Kwenye Elimu na Afya - Dkt. Samia
Oct 29, 2024
Makoba Afungua Kikao Kazi cha Kuanzisha Kamati ya Kitaifa ya Kumbukumbu za Urith...
Oct 29, 2024
Mhe. Kapt. Mkuchika Awasha Umeme Magenge
Oct 28, 2024
Mhe. Kapt. Mkuchika Azindua Madarasa, Matundu ya Vyoo na Kukagua Ujenzi wa Bweni...
Oct 26, 2024
Tanzania Kutekeleza Sera Nishati ya Jotoardhi
Oct 25, 2024
Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Marekebisho ya Maandishi
Ndogo
Kawaida
Kubwa