Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza na wananchi wakati wa hafla ya uwashaji umeme kupitia Mradi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Awamu ya Tatu, Mzunguko wa Pili katika Kijiji cha Ihako kilichopo Kata ya Katome, Wilaya ya Bukombe mkoani Geita.
Read More