Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande, akipokea ripoti ya tathmini ya utendaji kwa mwaka wa fedha 2022/23 ya Taasisi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Taasisi hiyo, Dkt. Leonada Mwagike, katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Kambarage, Hazina, jijini Dodoma.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya na kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa PPRA, Bw. Eliakim Maswi.
Read More