Rais Samia Akagua Mradi wa Skimu ya Umwagiliaji katika shamba la Mbegu, Kilimi, Aembelea Soko la Wamachinga Parking
Oct 18, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. kt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi wa Miundombinu ya umwagiliaji katika Shamba la Mbegu Kilimi, Nzega Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
Na
Ikulu