Waziri wa Madini, Anthony Mavunde leo Januari 05, 2024 jijini Mwanza akifungua kikao na watoa huduma kwa wamiliki wa leseni za madini walioshiriki katika kikao hicho kilichohusisha pia Taasisi za Fedha, Vyama vya Wachimbaji wa Madini, Taasisi za Umma, Wizara ya Madini na Taasisi zake.
Read More