[caption id="attachment_53250" align="aligncenter" width="750"] Akizungumza leo Jijini Dodoma, wakati wa shughuli za kuvunja Bunge la kumi na moja, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Maguful[/caption]
Na Jacquiline Mrisho, Dodoma
Kutokana na hatua zilizochukuliwa na nchi ya Tanzania katika kupambana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na Virusi vya Corona, uchumi wake unatarajiwa kuendelea kuwa na matokeo chanya katika ukuaji wake.
Kauli hiyo imetolewa jana Bungeni, jijini Dodoma na Rais wa Jamhuri ya Muunga...
Read More