Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu maendeleo ya uendeshaji wa Redio ya TBC Taifa kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji TBC, Dkt. Ayoub Rioba wakati alipotembelea katika kituo hicho kilichopo Barabara ya Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Desemba 2021. Kulia ni Mkurugenzi wa Huduma za Redio TBC Redio Bi Aisha Dach,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu uendeshaji wa vipindi mbalimbali vya Redio kutoka kwa Mkurugenz...
Read More