Rais wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) hapa Tanzania, Bibi Christin Musisi alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha .[Picha na Ikulu] 05/01/2022. Rais wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) hapa Tanzania wakati wa mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa