Rais wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisisitiza jambo alipozungumza na Mabalozi walioteuliwa kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbalimbali Ikulu jijini Zanzibar kwa kuagana nao na kupata maagizo katika utekelezaji wa kazi zao.