Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw. Saidi Yakubu akizungumza na Wawakilishi wa Waandaaji wa Tuzo za MTV Afrika kutoka nchini Afrika Kusini kuhusu Tanzania kuandaa Tuzo hizo Mwaka 2023, Mazungumzo hayo yamefanyika leo Mei 09, 2022 jijini Dodoma.
Na Shamimu Nyaki - WUSM, Dodoma
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw. Saidi Yakubu leo Mei 09, 2022 jijini Dodoma ameongoza kikao cha awali kati ya Wizara na Wawakilishi wa Waandaaji wa Tuzo za MTV Afrika kutoka nchini Afrika Kusini kujadil...
Read More