Rais Dkt. Mwinyi Azindua Filamu ya Royal Tour Zanzibar
May 08, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akikabidhi Tuzo ya Muigizaji wa Filamu ya ‘Tanzania Royal Tour’ na (kushoto kwa Rais) ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Utamaduni na Filamu Zanzibar (BASFU), Dkt. Omar Abdalla na (kulia kwa Rais) Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania, Dkt. Kiagho Kilonzo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa na viongozi pamoja na wageni wengine wakitazama filamu ya ‘Tanzania Royal Tour’ inayooneshwa Zanzibar kwa mara ya kwanza.